Wajasiria Mali kutoka Kisiwani Pemba,
wakimsikiliza kwa Makini Mwalimu wa Ujasiri amali akiwapatia maelezo juu
ya usindikaji wa Mazao mbali mbali
Wajasiri amali mbali mbali Kisiwani
Pemba, wakipatiwa mafunzo ya Vitendo juu ya Usindikaji wa zao la
TUNGULE, huko katika mafunzo yao yaliofanyika katika Ukumbi wa Chumvi,
Wawi Pemba.
Picha na MEIBAKU MOLEL TSJ -PEMBA.
Picha na MEIBAKU MOLEL TSJ -PEMBA.
Post a Comment