Mtu
aliyeua watu wengi nchini Marekani na kufungwa kifungo cha maisha
Charles Manson, mwenye umri wa miaka 80, ameripotiwa kupewa hati ya
kuoana na mwanamke mwenye umri wa miaka 26 ambaye amekuwa akimtembelea
gerezani.
Hati hiyo
ya ndoa ilitolewa siku 10 zilizopita kwa Manson na Afton Elaine Burton,
limeripoti shirika la habari la Associated Press.
Bi Burton alihamia Corcoran, California, miaka tisa iliyopita ili kuwa karibu na gereza la Manson.
Manson
anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kuua watu saba na mtoto mmoja
ambaye hakuwa amezaliwa huko Los Angeles Marekani mwaka 1969.
Waliouawa ni pamoja na mwigizaji aliyekuwa mjamzito Sharon Tate, mke wa mwongoza sinema Roman Polanski.
Charles
Manson mfungwa mweye umri wa miaka 80 na mke mtarajiwa Afton Elaine
Burton"Star" miaka 26Bi Burton, ambaye anajiita nyota, ameliambia
shirika la Associated Press kuwa ataoana na Manson mwezi ujao. Hati hiyo
imeripotiwa kudumu kwa siku 90.
"Wote mtajua kuwa ni kweli... Itatokea," ameliambia shirika hilo.
"Nampenda," ameongeza kusema.
Kiongozi
huyo wa kidini na wafuasi wake, wakijulikana kama Familia ya Manson,
aliwachoma visu na kuwaua kwa kuwapiga risasi watu saba huko Los Angeles
katika siku mbilimwezi Agosti 1969 katika jaribio la kutaka kuanza vita
vipya vya matabaka ya rangi.
Manson na
wanawake watatu washirika wake walihukumiwa adhabu ya kifo kutokana na
mauaji hayo, lakini hukumu hiyo ilitolewa mwaka 1972 wakati jimbo la
California lilipositisha kwa muda adhabu ya kifo.
Mwaka
2012, Manson alinyimwa parole yaani msamaha wa kuachiliwa na jopo la
gereza la California - ilikuwa mara ya 12 kwa Manson kuomba kuachiliwa
huru.
Kwa
matokeo hayo, Manson hastahili tena kuomba parole hadiMtu aliyeua watu
wengi nchini Marekani na kufungwa kifungo cha maisha Charles Manson,
mwenye umri wa miaka 80, ameripotiwa kupewa hati ya kuoana na mwanamke
mwenye umri wa miaka 26 ambaye amekuwa akimtembelea gerezani.
Hati hiyo
ya ndoa ilitolewa siku 10 zilizopita kwa Manson na Afton Elaine Burton,
limeripoti shirika la habari la Associated Press.
Bi Burton alihamia Corcoran, California, miaka tisa iliyopita ili kuwa karibu na gereza la Manson.
Manson
anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kuua watu saba na mtoto mmoja
ambaye hakuwa amezaliwa huko Los Angeles Marekani mwaka 1969.
Waliouawa ni pamoja na mwigizaji aliyekuwa mjamzito Sharon Tate, mke wa mwongoza sinema Roman Polanski.
Charles
Manson mfungwa mweye umri wa miaka 80 na mke mtarajiwa Afton Elaine
Burton"Star" miaka 26Bi Burton, ambaye anajiita nyota, ameliambia
shirika la Associated Press kuwa ataoana na Manson mwezi ujao. Hati hiyo
imeripotiwa kudumu kwa siku 90.
"Wote mtajua kuwa ni kweli... Itatokea," ameliambia shirika hilo.
"Nampenda," ameongeza kusema.
Kiongozi
huyo wa kidini na wafuasi wake, wakijulikana kama Familia ya Manson,
aliwachoma visu na kuwaua kwa kuwapiga risasi watu saba huko Los Angeles
katika siku mbilimwezi Agosti 1969 katika jaribio la kutaka kuanza vita
vipya vya matabaka ya rangi.
Manson na
wanawake watatu washirika wake walihukumiwa adhabu ya kifo kutokana na
mauaji hayo, lakini hukumu hiyo ilitolewa mwaka 1972 wakati jimbo la
California lilipositisha kwa muda adhabu ya kifo.
Mwaka
2012, Manson alinyimwa parole yaani msamaha wa kuachiliwa na jopo la
gereza la California - ilikuwa mara ya 12 kwa Manson kuomba kuachiliwa
huru.
Kwa matokeo hayo, Manson hastahili tena kuomba parole hadi mwaka 2007.CHANZO:BBC
Post a Comment