
Kocha Msaidizi wa Azam FC,
Kali Ongala ameachia ngazi. Ongala ambaye ni mtoto wa aliyekuwa
mwanamuziki .marehem Remmy Ongala amejiuzu kuifundisha timu hiyo yenye
maskani yake Chamazi ambao ni mabingwa wa tetezi kwa mujibu wa afisa
habari wa timu hiyo Jaffar Idd akihojiwa na kipindi cha michezo cha
redio one amekiri na kusema kocha huyo alikuwa na mpango wa muda mrefu
wa kutaka kwenda nje ya nchi kwa ajilin ya kusomea ukocha na
ndiponalipoandika barua ya kuomba ruhusa ya kujiuzuri ili apate nafasi
ya kwenda uingereza kuchukua mafunzo ya ukocha
Post a Comment