Naibu
Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu akiwalisha kiapo cha
uzalendo wanachama wapya katika Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida
Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani Singida waliohama kutoka
Chama Cha Mapinduzi, katika moja ya mikutano 'Operesheni Delete CCM',
uliofanyika mwishoni mwa juma kijijini hapo.
Wananchi
wapatao 350 waliokuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha
Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani
Singida wakiwa wameshika kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) huku wakila kiapo cha uzalendo baada ya kujiunga na chama
hicho kwenye moja ya mikutano ya 'Operesheni Delete CCM' uliohutubiwa na
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, mwishoni mwa
wiki.
Post a Comment