Hii ndiyo nyumba ambayo mgombea
nafasi ya mwenyekiti wa mtaa wa igomelo Augustino mabula ajambo
ambola mgombea wa ccm Ramadhani Morisi amepiga ya kuwa siyo mkazi wa
eneo hilo .
Baadhi ya wajumbe wa vyama vya ccm na chadema wakiwa eneo la makazi ya mgombea nafasi ya serikali za mtaa wa igomela.
Mwenye kuonyesha mkono moja ya mkazi wa maeneo hayo akijalibu kuonyesha hali hali ya wajumbe wa vya hivyo ukweli wa jambo hilo.
Mtendaji wa kata ya Malunga Cosmas
Bukango alionyesha mkono juu ya hali ya eneo hilo toka kwa wajumbe
mbalimbali kuhusu eneo hilo .
Mwenye kibagalashia ni mgombe wa
ccm wa mtaa wa igomelo kata ya malunga Ramadhani Morisi huku mtendaji wa
kata hiyo ambaye mikono yake amekuja akimsikiliza kwa makini mgombea
huyo ambapo mgombe wa ccm pia ni jirani yake kwa upande wa nyuma ya
nyumba hiyo .
Baadhi ya wajumbe wa vyama vya ccm na chadema na wanachi wa eneo hilo .
Baadhi ya wajumbe wa ccm na chadema wakiwa katika ofisi ya mtendaji wa kata ya malunga .
Mwenye kilemba kichwani ni mke wa
mgombea nafasi ya mwenyekiti wa mtaa wa igomelo akionyesha eneo lake
ambalo amesema kuwa naishi hapo jambo ambalo kimazingira tu kunaonyesha
eneo hili hakai mtu hapa kama jinsi linavyonekana
Mwenyekiti wa ccm tawi la malunga
mwenye jaketi la kijani wakiwa eneo hilo lenye mgongoro kwa mgombea wa
chadema Augustino mabula wakitoka kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo kwa
kupata ukweli wa jambo hilo .
Hii
ndiyo kijana akiweka milango na madirisha na kuonyesha kuwa mgombea wa
chadema hapa ndipo anakoishi jambo ambalo siyo sahihi.
Picha kwa hisani ya Mohab Matukio
Post a Comment