
Love ya nguvu ambayo ipo kwa watu wa East Africa inaendelea
kujidhihirisha ambapo siku ya leo staa wa Muziki kutoka Uganda, Jose
Chameleone amekuwa moja ya mastaa kutoka nje ya Tz ambao wameonyesha
love kubwa kwa kutoa support kwa mshiriki pekee wa Tz aliyebaki ndani ya
Jumba la Big Brother Africana kufanikiwa kuingia fainali pamoja na
washiriki wengine 7 ambapo
inafanya jumla ya washiriki walioingia final kuwa nane tu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, staa Jose Chameleone ameandika hivi pamoja
na kuweka picha ya Idris; “… Let’s VOTE for IDRIS Tanzania.
Post a Comment