| Askari
polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni
manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume mmoja ambaye ni Msusi
katika moja ya Saloon za wanawake hapa manispa ya Tabora inayofahamika
kama HK,...Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani
amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala
wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa
alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye
kfikwa na umauti. |
Post a Comment