Picha: Huddah Monroe aringishia mkoko wake mpya

Kwa mujibu wa Huddah Monroe, Chrismas imekuja mapema. Mrembo huyo wa Kenya ameshare picha ya kile alichodai ni gari yake mpya.
10865168_690417231078284_2137704217_n Huddah akiwa mbele ya gari lake
i”Ombea adui yako aishi siku nyingi Ili unapo barikiwa ajioneeeee,” ameandika Huddah kwenye picha hiyo.
“No one can block the blessings that God has planned for you because Who Jah bless , no man curse! This is a GIFT from GOD! MY Aphrodisiac,My Dime Piece, my Husband. Christmas just came early! #Thankful! #RangeRover #Anon #SexOnWheels #Blessings #BossChick.”

Post a Comment

Previous Post Next Post