
Ushabiki hauna mipaka kwenye mambo mengi ya burudani, michezo na hata
siasa. Huyu anajiita shabiki namba moja wa msanii wa bongo fleva
Diamond Platnumz na kwa mapenzi ya ukweli jamaa amechora tattoo ya jina
la msanii huyu kwenye kifua chake. Haijulikani kam ni tattoo ya muda
mrefu au ya muda mfupi.

Post a Comment