
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen
Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama
Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. Ripoti ya Upimaji wa afya za
madereva, wakati wa Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika
Novemba 22 hadi 28 katika vituo vya mikese, mkoaniMorogoro. Makabidhiano
hayo yalifanyika Dar es Salaam juzi.
Kamanda
Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. akitoa
shukrani kwa TBL baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Upimaji wa afya za
madereva,
Mganga Mkuu wa Polisi akisoma ripoti hiyo
Post a Comment