HomeAUDIO Wimbo mpya wa ANGEL BENARD unaoitwa NUMBER 1 ndio huu hapa Hisia December 04, 2014 0 Wimbo wa 7 kutoka kwenye album ya NEW DAY ya ANGEL BENARD unaitwa Number 1. “Katika number one, Ninazungumzia tabia za Mungu zinazomfanya yeye kuwa namba moja kwangu na hivyo ninakuwa nasimulia habari zake.” - Angel Benard https://mkito.com/song/number-1/6472
Post a Comment