Kumekuwa na
story jioni ya leo Dar kuhusu kikundi cha watu cha ‘Panya Road’ kuvamia
maeneo mbalimbali, kupora vitu na kupiga watu.
Kamanda wa Polisi Suleiman Kova amezungumza kupitia kituo cha TBC1,
amesema kuwa wananchi wanapaswa kuwa na amani kwa kuwa kikundi hicho
kina wahalifu wachache, tayari kuwa wawili ambao wamekamatwa na
oparesheni inaendelea ili kuwadhibiti.
Kamanda Kova: Wananchi wanapaswa kuondoa hofu, ‘Panya Road’ tunawadhibiti. Via: #TBC1.
— millardayo.com (@millardayo) January 2, 2015
#Kamanda
Kova: Habari zilizovuma ni kubwa kuliko ukubwa wa tatizo lenyewe.
Kikundi cha ‘Panya Road’ kipo, tunaendelea kuwashughulikia. Via: #TBC1
— millardayo.com (@millardayo) January 2, 2015
Unaweza kusikiliza mahojiano yote hapa.
Post a Comment