Makamu
Mwenyekiti wa ACT-Tanzania ,Bara ,Shabani Mambo Akizungumza katika
kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika leo
katika Ukumbi wa Kagame Jijini Dar es Salaam.
Wanachama
wa ACT wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika
katika Ukumbi wa Hoteli ya Kagame Jijini Dar es Salaam wakipata taarifa
ya Chama kwa kipindi cha miezi sita na tathimini ya uchaguzi wa
serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni.
Aliyekuwa Mwanachama wa TLP ,Ahmad Tao akipokea kadi mpya uanachama wa ACT katika
Aliyekuwa
Mwanachama wa TLP ,Ahmad Tao akionyesha kadi mpya uanachama wa ACT
katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika
leo katika ukumbi wa hoteli ya Kagame jijini Dar es Salaam.
Katiku
mkuu wa wa Chama cha ACT-Tanzania,Samsoni Mwigamba akifafanuwa jambo
katka kikao cha halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo jijini Dar
es Salaam.
Post a Comment