HIZI NDIO PICHA ZA UTATA ALIZOPOSTI DEMU WA NAY WA MITEGO MTANDAONI
Hisia0
Mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' , Siwema Edson 'Mama Curtis' amepost leo picha za mahaba akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo kupitia Account yake ya Instagram.
Post a Comment