STAA
wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa
hakuna kitu kinachompa ‘stress’ kama unene hivyo ameamua kuanza mazoezi.
![](http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/Kajala-Masanja-533.jpg?width=650)
“Unene ni stress jamani, sihitaji kabisa ni bora niache usingizi nifanye mazoezi na sasa hivi nimeshazoea na matunda ya kufanya mazoezi nayaona ni mazuri, sitaki kabisa unene,” alisema Kajala.
![](http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/Kajala-Masanja-533.jpg?width=650)
Staa wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja.
Akizungumza na mwandishi wetu, Kajala alisema hakuna kitu ambacho
kinampa ‘stress’ kama unene hivyo kuanzia sasa ameamua kuacha usingizi
wake kila asubuhi ili kufanya mazoezi ya kupunguza mwili.“Unene ni stress jamani, sihitaji kabisa ni bora niache usingizi nifanye mazoezi na sasa hivi nimeshazoea na matunda ya kufanya mazoezi nayaona ni mazuri, sitaki kabisa unene,” alisema Kajala.
Post a Comment