Msanii wa bendi ya Twanga Pepeta,Luiza Mbutu amesema kilichomfanya Aisha
kutumia madawa ya kulevya ni uvutaji sigara uliompelekea kuvuta
bangialiyofundishwa na Banza. Banza alikuwa anamchanganyia bangi na unga
hadi ikafikia hatua ya kuwa addicted na na unga. Kabla ya Aisha kuaga
dunia alikuwa ameachana na madawa ya kulevya,na kwenda Dubai kwa
kudanganywa ni maswala ya bendi. Kumbe ni kwenda kuwa mfanyakazi wa
ndani. Ndipo baada ya kukataa wakamnyang'anya pasport yake,ndipo akaenda
kushtaki ktk ubalozi wa huko na kurudi Tanzania,akakutana na mashoga
zake ambao alikuwa anatumia nao akawa anaendelea kutumia huku akiwa
anatumia dawa za kuacha kutumia unga hadi kufikwa na mauti.
Source: Radio Tumaini
Source: Radio Tumaini

Post a Comment