Mmiliki
wa shindano Kubwa la urembo duniani, Mr Donald Trump ampa ufagio mrembo
wa Miss Universe Tanzania, Nale Boniface.>>> Amenukuliwa
akisema> This time we have such a young and beautiful contender from
Africa… Huku akitaja jina la Mtanzania NALE BONIFACE na kuomba kupiga
picha ya pamoja.
Mkurugenzi
wa Miss Universe Tanzania amefurahishwa na kauli hiyo kutoka kwa
mmiliki wa shindano hilo Kubwa duniani kwa kusema amefuruhishwa na kauli
hiyo. Zaidi amenukuliwa akisema >> Nimefurahishwa na kauli ya Mr
Trump na Mtanzania Nale Boniface ananafasi Kubwa kuingia Top 16- Kumi na
sita bora kwakuwa sasa ni mrembo pekee kutoka Africa anayekubalika na
kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.

Post a Comment