Kikosi cha timu ya JKU kikiwa katika maandalizi ya mchezo wao wa Nusu
Fainali ya Kombe la Mapinduzi linalofanyika katika uwanja wa Amaan
Zanzibar jioni hii.
Kikosi cha Mtibwa wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuaza kwa mchezo wao
wa Nusu Fainal na timu ya JKU kuwania kucheza Fainali ya Kombe la
Mapinduzi unaofanyika jioni hii Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Waamuzi wa mchezo wa Nusu Fainal ya Kombe la Mapinduzi wakipasha kabla
ya kuanza kwa mchezo huo jioni hii uwanja wa Amaan Zanzibar
Post a Comment