Mtu ahack namba ya simu ya AY, awaomba mamilioni watu wake wa karibu

b.Mtu asiyejulikana amehack namba ya Tigo ya AY na kuanza kuwaomba mamilioni watu wake wa karibu.
AY ambaye kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa anashangaa kugundua kuwa namba yake ya simu inapatikana wakati chip anayo yeye na haipo kwenye simu.
IMG-20150112-WA0002
Fundi Frank ni miongoni mwa marafiki wa AY walioombwa fedha na mtu huyo
Kufuatia tukio hilo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameziagiza mamlaka husika kufuatilia haraka jambo hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post