New Video: Davido ft Uhuru + Dj Buckz- The Sound (Official Video)

Staa wa Nigeria, Davido ametoa video mpya ya wimbo aliowashirikisha Uhuru pamoja na Dj Buckz uitwao ‘The Sound’. Video imeongozwa na director Sesan wa Nigeria na kushutiwa Dubai. Hii ndio single ya kwanza kutoka kwa Davido kwa mwaka huu 2015.

Post a Comment

Previous Post Next Post