News:- Moto Mkubwa wawaka maeneo ya Kijitonyama, (Ni gereji ofisi ya #Baharimotor kwa Hashim na maduka mengine)

Moto mkubwa unawaka maeneo ya Kijitonyama.Fire wamekuja wakwanza wameondoka,gari la pili limeondoka nalo halina maji.Ni gereji ofc #Baharimotor kwa Hashim na maduka mengine

Post a Comment

Previous Post Next Post