TUNAOMBA RADHI KWA PICHA.
watu
wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele na kisha
kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kisha
kukata mkono wake mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho walichukua
viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye
sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwenye moto na kuanza kuvipika
baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika polisi
wilayani MLELE wanaendelelea na uchunguzi kubaini wahusika wa tukio
Hilo. Tukio Hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba ucku
hayo ndo yaliyojiri wilayani kwetu MLELE.


Post a Comment