Mwanamke huyu anashika nafasi ya kwanza kwa wanawake akiwa na matiti 
makubwa kuliko wote duniani lakini ni yale fake (bandia) ya kuongeza 
ambapo jina lake anaitwa Mayra Hills raia wa Ujerumani. Kila titi lake moja lina ujazo wa kilogramu 10 sawa na ndoa ndogo ya maji na anavaa brazia size ya 32
 ambapo kwa wanawake wanajua kuhusiana na hili yani zile nguo za 
kusimamisha maziwa, kama ujuavyo kuna wanawake wengine wanakua 
wanachukia miili yao sana lakin kwa huyu imekuwa ngumu na kila siku 
amekuwa akitupia picha zikionyesha maziwa yake yalivyo lol ebu tizama 
hapa chini ujionee
 Yawezekana yanampa ulaji au raha yeyeto maishani hapa duniani
Waweza jiuliza yanafaida gani, naamini jibu la moja kwa moja shida 
kupatikana ila wenye nayo wanaijua. Au la msomaji wetu wafahau vizuri 
faida ya jambo hili, basi tuambie




Post a Comment