PICHA(18+):- HII NDIO PICHA YA MTOTO WA WILL SMITH "WILLOW" ILIYOLETA UTATA MTANDAONI - LAWAMA ZAWAENDA WAZAZI

 Msanii wa pop Willow Smith amezua utata kwenye mitandao baada ya kuweka picha inayoonyesha umbo la maziwa yake. Willow mwenye miaka 14 ambaye ni mtoto wa mwigizaji Will Smith na Jada amepokea mitazamo hasi kuhusu picha hii huku watu wengine wakilaumu malezi ya wazazi wake.

Baada ya muda mfupi picha hio ilitolewa kwenye Ukurasa wake wa Instagram





Post a Comment

Previous Post Next Post