Prof. Muhongo Aita Waandishi wa Habari Leo

Leo ni leo. Jumamosi, Januari 24; saa 5 ofisini kwake. Mada kuu ni Escrow. Amewaita waandishi wa habari ili kutoa ya mayoni , haijulikani anataka kusema nini na kuchukua hatua gani , inasemekana kuna viongozi viti havikaliki kwa vile kuna wasiwasi akalipua bomu ambalo halijulikani .
Bunge linatarajia kuanza week ijayo na kuna wabunge wameapa kuwa Muhongo na Chenge wakiingia bungeni siku hiyo hapata kalika.

Nini Maoni yako ya hii habari?

Post a Comment

Previous Post Next Post