Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2012 kwa Wajumbe wa Baraza

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utyawala Bora Dk,Mwinyihaji Makame akitoa maelezo kuhusu Sensa na Umuhimu wake katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk  akitoa hotuba kuhusu Sensa na Umuhimu wake katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Mtakwimu mkuu wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mohd Hafidh Rajab  akiwasilisha matokeo muhimu yanayotokana na Sensa ya Watu na Makaazi katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika semina  ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 wakiangalia makala fupi ya Sensa ya Watu na makaazi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kitope Makame Mshimba Mbarouk akiuliza masdwali katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar(Picha na Yuusuf Simai)

Post a Comment

Previous Post Next Post