Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo imepokea malalamiko kutoka kwa wasambazaji wa filamu kuhusu
ushushwaji wa bei za filamu uliotangazwa na Kampuni ya Steps
Entertainment.
wizara imeyashughulikia malalamiko hayo na kuona kuwa bei iliyotangazwa na Kampuni ya Steps Entertainment si halisi na itasababisha tasnia ya filamu kudharauliwa na pia haina tija katika tasnia ya filamu.

Wizara
inaiagiza kampuni ya Steps Entertainment kusitisha kuanza kuuza filamu
hizo kwa bei ya Tshs. 1000 mpaka hapo muafaka utakapopatikana katika
kikao kitakachofaninya kati ya Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na
Michezo, Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda na Biashara.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO.
Post a Comment