Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko
Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani)
kuhusu Tamasha la Biashara litakalofunguliwa tarehe 7 mwezi huu katika
viwanja vya maisara. (kushoto) Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na
Masoko Bi. Thuwaiba Edington Kisasi na (kulia) Mkurugenzi Idara ya
Biashara na Ukuzaji Biashara Mohamed Jaffar Jumanne.(Picha na Makame-Mshenga Maelezo Zanzibar).
Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk
Karim akiuliza swali katika mkutano wa waandishi wa Habari ulioitishwa
na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko kuhusu Tamasha la Biashara
litalofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 13 mwezi huu katika viwanja vya
Maisara Mjini Unguja.
Baadhi ya waandishi wa
habari kutoka vyombo mbali wakimsikiliza Waziri wa Biashara Viwanda na
Masoko katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika Wizara ya
Biashara Malindi Zanzibar.
Post a Comment