Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya
TANESCO, Declan Mhaiki ( kulia) ) akiongea na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam jana juu ya kuimarika kwa mfumo wa luku wa kununulia umeme katika mitandao ya simu, wakala wa Selcom na
Maximalipo.Kulia ni Kaimu Meneja Uhusiano, Lusazo Mwakabuku, wa pili kushoto ni
Meneja Mwandamizi wa ICT wa kampuni
hiyo, Kusenha Mazengo na kushoto kabisa
ni Ofisa Uhusioano wa Tanesco, Neema Mbuja. |
Post a Comment