MSANII
wa filamu Bongo, Tiko Hassan ametoa ya moyoni na kusema kuwa kwa sasa
yupo tayari kuolewa na babu Mwarabu ilimradi akitimiza mashariti yake.
“Kila mwanamke anatamani kuolewa, kama hujaolewa unaonekana kama muhuni na hata wazazi wako hawakupi heshima. Lakini kwangu mimi naona mababu wana raha yake bwana, kwanza wanaweza kutunza na kujali. Natamani sana niolewe na babu tena Mwarabu na haijalishi hata nikiwekwa mke wa tatu sawa tu,” alisema Tiko.
Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan.
Akizungumza na Uwazi, Tiko alisema kwa sasa kama atatokea babu wa
kumtolea posa, yupo tayari ila asiwe raia wa hapa bali awe Mwarabu maana
vijana hasa wa Bongo sio waoaji ni wachezeaji.“Kila mwanamke anatamani kuolewa, kama hujaolewa unaonekana kama muhuni na hata wazazi wako hawakupi heshima. Lakini kwangu mimi naona mababu wana raha yake bwana, kwanza wanaweza kutunza na kujali. Natamani sana niolewe na babu tena Mwarabu na haijalishi hata nikiwekwa mke wa tatu sawa tu,” alisema Tiko.

Post a Comment