Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi
mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bw. Xie Yun Liang, wakifurahi baada ya
kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kitengo cha wagonjwa mahututi
(ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea
wodi mpya ya wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja,
baada ya kuifungua rasmi.
Baadhi
ya wanafunzi wa chuo cha afya Mbweni, wakiwa sehemu ya washiriki katika
hafla ya ufunguzi wa wodi ya wagonjwa mahututi katika hospitali ya
Mnazi mmoja.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa kitengo cha wagonjwa mahututi
(ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Dr. Mohamed Saleh Jidawi, akizungumza wakati wa
ufunguzi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya
Mnazi Mmoja.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akigana
na Balozi mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bw. Xie Yun Liang, baada ya
kumalizika hafla ya ufunguzi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU),
katika hospitali ya Mnazi Mmoja. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya Mhe.
Rashid Seif Suleiman. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Post a Comment