Una watoto wangapi?
JIBU : Sina mtoto wala watoto 😐😯😐 Utazaa lini?
JIBU : Sijajua mpk sasa nitazaa lini, ila siku yoyote ile ikitokea naweza kuzaa 😎😎😎😎 Kwanini huna mtoto /watoto?
JIBU : Sina mtoto /watoto sababu sijawapata, nikipata nitakuwa nao. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tunaskia ume adopt mtoto ?
Na mtoto tunaekuona nae ni wa nani?
JIBU : Sija adopt mtoto, mtoto mnae muona ana shine like a star, ananiita Shangazi, ninaishi nae sbb ya ukaribu wa shule anayosoma
Tunaishi wawili tu, mimi na yeye
Anaitwa "Mokonyo Yvonne Mbibo"
Ni binti wa mdogo wangu @dabomtanzania 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 Tunaskia una mtoto mkubwa ulimzaa ukamuacha kijijini Shinyanga /Musoma
JIBU : Sina mtoto niliemuacha kijijini, sijawahi kuishi kijijini.
Sijawahi kuishi Musoma, kwetu ni Bunda na huwa naenda ikitokea misiba kuzika, sijawahi kuishi huko zaidi hata ya miezi 2
Shinyanga niliozaliwa ni mjini
Nilihama Shinyanga, kuja Dar es salaam nikiwa na miaka 11
Sijawahi kurudi kuishi huko tena zaidi ya kwenda kusalimia. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunaskia huzai, ulitoa kizazi ili ufanikiwe kifedha?
JIBU : Sijatoa kizazi na sifanyi kitu chochote unusual ili kupata mafanikio 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Angalizo : Mwenyezi Mungu hadhihakiwi, so stop calling me names. .......Kesho anaijua yeye, lolote pia linaweza kutokea.
Accept me the way I am
Je! Mmeridhika?
Enough for today, kesho no.8
Leo acha nile life

Post a Comment