BAADA
ya kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda ‘Bela’ na
Luteni Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa
aliwahi kushika mimba zaidi ya nne za Karama na zote zikaharibika.
Msanii wa filamu Bongo,Isabela Mpanda ‘Bela’.
Akifunguka mbele ya paparazi wetu, Bela alisema alikuwa akishika
mimba hizo lakini zote zilikuwa zikiharibika baada ya kufikisha miezi
minne tu.
“Nilikuwa napenda kumzalia Karama lakini kila alipokuwa akinipa mimba
zote zilikuwa zikiharibika, ameshanipa mimba nne na zote zikawa
hivyohivyo. Sijui lakini labda damu zetu zilikuwa haziendani kwenye
mimba,” alisema Bela.
Post a Comment