Diamond ameshtua Mashabiki wake tena
baada ya kupost picha ya gari kali na la gharama sana duniani Aina ya
Rolls Royce kwenye Page yake ya Instagram
yamebaki kwa wengi kuwa je ni amenunua gari hilo au ameamua kuonyesha mapenzi kwa gari hilo na ku share picha yake.
Post a Comment