Picha ya Lulu aliyotupia Instagram leo.
KIVAZI
alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu'
kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram. Mrembo huyo mwenye
mvuto wa pekee ametupia picha hiyo muda mfupi uliopita katika akaunti
yake ya Instagram ambapo ametupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.
Post a Comment