Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na 
Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akizungumza na vijana wa ulinzi wa 
chama hicho maarufu kama Red Brigade, (RB), kutoka Kanda ya Kati ya 
Mikoa ya Dodoma na Singida kwenye makao makuu ya chama hicho mjini 
Dodoma leo Jumatatu Februari 9, 2015. Vijana hao hutumika kulinda 
viongozi, mali za chama na kwenye mikutano ya hadhara na ile ya ndani ya
 chama.
Mbowe wakati akizungumza na Red Brigade


Post a Comment