Wema Sepetu Nae Ajibu Mapigo Kwa Zari, Kama ulikuwa Hujui Basi Nayeye ni Mjamzito

 Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti  huku wote sura zao zikiwa hazionekani....
Moja kati ya akaunti  kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la  WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.

Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa asitoboe. Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za  Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz.
Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watu kwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia  na kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo na wengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS wao.

Swali je kama ni kweli, nani atakuwa muhusika wa ujauzito huo?...
Muda utazungumza

Post a Comment

Previous Post Next Post