Ajali:- Prince Muro Lapata Ajari Muda Huu, Akuna Aliyepoteza Maisha,
Hisia0
Gari la Kampuni ya Princes Muro Imepata Ajali Muda Huu Maendeo ya Mbwewe Karibu na Wami, Hakuna Aliyepoteza Maisha, Kuna majeruhi walioumia Vibaya - Habari Kamili Zitawajia Hivi Punde - Picha Na Mdau(Whatsaap)
Post a Comment