Mahakama
ya Malaysia imemkuta na hatia ya mauaji mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji
ya wanafunzi wawili wa udaktari kutoka nchini Uingereza.Mauaji hayo
yanadaiwa kufanyika August mwakajana katika kisiwa cha Borneo.
Jaji
wa mahakama hiyo amesema mahakama imeidhishwa na ushahidi dhidi ya
mshitakiwa na kuona anastahili adhabu. Hukumu hiyo inayomkabili Zulkipli
Abdullah anadaiwa kuwaua Neil Dalton na Aidan Brunger.
Kwa mjibu wa hukumu hiyo ya mauaji, Abbdullah atanyongwa hadi kufa.(BBC)
Post a Comment