Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda (katikati).
Na modewji blog
Mtoto
Baraka Cosmas Rusambo mwenye umri wa miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi
(Albinism), amekatwa mkono wa kulia katika tukio lilitokea Jumamosi
usiku tarehe7 Machi kwenye kijiji cha Kiseta, Kata ya Kiseta, Tarafa ya
Kiseta wilayani Sumbawanga vijijini, mkoani Rukwa.
Baraka amepelekwa hospitali huku mama yake mzazi Bi. Prisca Shabaan amejeruhiwa vibaya wakati akijaribu kumlinda mwanae.
Jeshi la polisi linawashikilia watu wa wawili huku upelelezi ukiendelea.
Kwa taarifa zaidi za kina zitaendelea kuwajia kupitia mtandao huu
Post a Comment