UKARIBU
wa mastaa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude na
msanii mwenzake Ester Kiama unaonyesha kama kuna kitu kati yao baada ya
kuonekana kuwa karibu kwa muda mwingi kiasi kinachotia shaka!
Chanzo kilicho karibu na wawili hao kimesema mara kwa mara
wanaonekana kuwa karibu kila wanapokwenda na kuonyesha dalili zote za
kimahaba, lakini wenyewe wanadai ni washkaji walio kazini.
Post a Comment