Msanii wa sinema za Kibongo, Ester Kiama ametoa kioja cha aina yake
baada ya kufunguka kuwa mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni mziba pancha
wa magari yake ya kutembelea.
“Dude ndiyo kila kitu kwangu, ndiye anayeniendesha, ndiye anayenizibia pancha ikitokea dharura barabarani lakini pia mambo mengi tu yanayohusiana na filamu pamoja na binafsi,” alisema Ester.Mahojiano hayo yatapatikana kwenye mtandao wa www.globaltvtz.com hivi karibuni.
Msanii wa sinema za Kibongo, Ester Kiama.
Akizungumza hivi karibuni na Global TV Online, Ester ambaye amekuwa
akiandamwa kuwa huenda ana uhusiano wa kimapenzi na Dude ambaye ana
mkewe, alisema hakuna chochote kinachoendelea kati yao zaidi ya kuwa mtu
wake wa karibu na kumsaidia vitu vyake likiwemo suala la kuziba pancha.“Dude ndiyo kila kitu kwangu, ndiye anayeniendesha, ndiye anayenizibia pancha ikitokea dharura barabarani lakini pia mambo mengi tu yanayohusiana na filamu pamoja na binafsi,” alisema Ester.Mahojiano hayo yatapatikana kwenye mtandao wa www.globaltvtz.com hivi karibuni.
Post a Comment