Wachezaji wa Simba SC wakishangilia lao la kwanza lililofungwa na Ibrahim Ajibu kwa mkwaju wa penalti.
WEKUNDU wa Msimbazi 'Mnyama' au Simba SC leo wameisambaratisha Ruvu
Shooting baada ya kuibamiza kwa mabao 3-0 kwenye mechi ya Ligi Kuu ya
Tanzania Bara iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC wamewekwa kimiani na Ibrahim Ajibu, Awadhi Juma na Said Ndemla.
Post a Comment