Wiki
tatu sasa baada ya kuanzishwa kwa harakati za kijeshi katika mkoa wa
Kivu kusini na Kivu Kaskazini Jeshi la jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo
FARDC
limesema limefanikiwa
kuwakamata takriban waasi 182 , na kuwapokonya silaha 72 zikiwemo na
makombora katika harakati zilizofanyika wiki iliyopita . Mwandishi wa BBC mashariki mwa Kongo BYOBE MALENGA ametumia taarifa ifuatayo.
Post a Comment