MANCHESTER UNITED YAWA KINARA KWENYE UBORA WA VIRABU NCHINI ENGLAND

Gazeti la The Daily Mail leo limetoa ripoti ya vilabu bora 50 vya soka nchini England.
Gazeti hilo limetoa vigezo 6 vilivyopelekea kutengeneza orodha hiyo.
Miongoni mwa vigezo hivyo ni takwimu ya idadi ya mashabiki wanaoingia kwa juma kwenye viwanja vya timu hizo,kigezo kingine ni namna gani vilabu hivyo vimekusanya mashabiki duniani kote ikiwa ni pamoja na idadi ya mataji kwa maana ya vikombe vilivyotwaliwa na klabu husika.
Kigezo kingine ni wastani wa nafasi katika msimamo wa ligi
Kigezo kingine kilichochangia kwenye orodha hiyo ni thamani ya wachezaji waliopo kwenye vilabu hivyo
Ili kutambua jinsi gani klabu husika ilivyo maarufu ulimwenguni waliangalia idadi ya wafuasi kwenye mitandao ya kijamii hususani facebook na Twitter wakati wastani wa matawi ulitokana na idadi ya mataji yaliyotwaliwa na vilabu husika kuanzia msimu wa 1888-1889
HII NDIO ORODHA KAMILI YA VILABU 50 BORA NCHINI ENGLAND.
4

Post a Comment

Previous Post Next Post