Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China,
Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania
ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika
Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo
Post a Comment