Mvua ya Mawe Yaleta Maafa Makubwa Mkoani Shinyanga Watu 35 Wafariki Dunia
Hisia0
Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa
na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali
iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama
mkoani Shinyanga.
Post a Comment