Siasa ni Kama kandanda! Ukileta shida
ni kuhamia timu ingine... lakini sio Simba! Mjengwa; kwanini wana-CCM
wanasikitika kwa Zitto kuvuliwa U-Chadema? Sioni kwanini wajali. Au ...?
10 hrs · Like
Steward Mbasi Alikuwa anawatumia taarifa nyeti za ndani ya CHADEMA.Ila Jamaa naye ndo cheeeenga sana..Kwa akiliyake Atachaguliwa kuwa Rais.Lowasa pamoja na kununua watu maeneo mbalimbali ya nchi haijamsaidia Itakuwa na yeye!
10 hrs · Like
Tumaini Mbano Steward Mbasi maneno ya nini. Chadema mna wivu sana.
9 hrs · Like · 2
Emmanuel Kebra Munisi
9 hrs · Like
Danford Mwaiteleke Anadai kajiunga ACT kwa kuwa ni yeye ni mjamaa. Kama ni mjamaa ni kwa nini amekaa ndani ya chama chenye mlengo wa kibepari kwa miaka 16?
9 hrs · Like · 5

Post a Comment