Mwili wa Abdul Bonge ukifikishwa nyumbani kutokea Muhimbili tayari kwa kusafirishwa.
SAFARI ya mwisho ya mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection na
Meneja wa kundi hilo, Abdul Bonge, leo ilianzia nyumbani kwake
Magomeni-Kagera jijini Dar es Salaam mwili wake iliposafirishwa
kupelekwa mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.
Wakati mwili wake ulipowasili nyumbani kwake kutoka Hospitali ya
Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi, umati wa waombolezaji uliangua kilio
na kusababisha hali ya kutosikilizana
Post a Comment