Soudy Brown amekutana na Diamond na Zari.. Swali la ujauzito limejibiwa? #UHeard

Leo Soudy Brown ana story mtu wangu, anasema jana MARCH 26 akiwa kwenye mizunguko yake alifika katika Hoteli moja Dar, akakutana na Diamond Platnumz akiwa na mpenzi wake Zari.
Wakati huo Diamond alikuwa anakula chakula lakini Zari hakuwa anakula.. katika mazungumzo yao Soudy alimuuliza Zari kwanini yeye hali, akamjibu kwamba ameshakula sana.
Swali jingine la Soudy lilikuwa ishu ya ujauzito, akamwambia kwamba watu hawaamini kama kweli ana ujauzito.. Zari akacheka na hakujibu chochote.
Soudy aliongozana nao pia wakati wanaondoka, kingine kisikilize hapa mtu wangu, bonyeza play…

Post a Comment

Previous Post Next Post